Saturday, January 16, 2010

Nina Swali kuhusu ukurasa themanini na mbili

Ukurasa wa themanini na mbili kuna neno wanaoheshimika. Ninawaza neno inatokana na neno la "kuheshimu" (to respect), lakini kwa nini ilikuwa "-ika" iliongeza mwishoni?

Asante!

2 comments:

  1. Kerry, kuhusu 'wanaoheshimika', -ika inaongezwa mwishoni kubadili kitenzi(verb) kuwa kivumishi(adjective).
    Mfano: kuheshimu =to respect
    >kuheshimika=to be respectable
    >kuimba=to sing
    >kuimbika=to be singable(if there is such a word)
    >kulima=to dig/cultivate/till as in land
    >kulimika= to be tillable

    ReplyDelete
  2. Ninaelewa sasa. Asante mwalimu.

    ReplyDelete