Saturday, January 16, 2010

Wimbo wa Taifa

Baada ya kusikilizawimbo wa taifa wa Tanzania na wimbo wa Kenya, nilitambua kwamba sipendi wimbo wa taifa wa Marekani sana. Sipendi wimbo wa taifa wa Marekani kwa sababu ni kuhusu bendera iliyodumu wakati wa kita. Wimbo inaelezea bendera lakini haisemi sana kuhusu tabia ya Marekani ila kuhusu uhuru na ushujaa. Ninadhani wimbo wa taifa inahitaji kuelezea tabia ya taifa kama wimbo wa taifa wa Tanzania au Kenya. Ninapenda wimbo wa taifa wa Tanzania bora kwa sababu inasema kuhusu busara, umoja, amani na uhuru. Pia, inaelezea Tanzania kama sehemu ya Afrika na ninapenda hii kwa sababu inaonyesha kwamba Tanzania ni sehemu kwa jamii kubwa. Wimbo wa taifa wa Tanzania ni bora zaidi wimbo wa taifa wa Marekani.

No comments:

Post a Comment