Mbele ya = Infront of
Mfano: Nilisimama mbele ya rais wa Tanzania=I stood in front of the president of Tanzania
Nyuma=Behind
Kiti kipo nyuma yako= The chair is behind you
Kando=Beside
kaa kando ya mwenzako= sit beside your colleague
Kati ya= between
Yuko kati ya Amina na Bakari=s/he is between Amina na Bakari
Pembeni mwa=In the corner/far end of
Pembeni mwa nyumba mna nyoka=In the corner of the house there is(inside) a snake
Juu ya=On /on top of
Juu ya ghorofa=On top of the storey building
Chini = Below/under/down
Jifiche chini ya meza=(you) hide yourself under the table
Tuesday, January 12, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment