Ukurasa wa themanini na mbili kuna neno wanaoheshimika. Ninawaza neno inatokana na neno la "kuheshimu" (to respect), lakini kwa nini ilikuwa "-ika" iliongeza mwishoni?
Kerry, kuhusu 'wanaoheshimika', -ika inaongezwa mwishoni kubadili kitenzi(verb) kuwa kivumishi(adjective). Mfano: kuheshimu =to respect >kuheshimika=to be respectable >kuimba=to sing >kuimbika=to be singable(if there is such a word) >kulima=to dig/cultivate/till as in land >kulimika= to be tillable
Kerry, kuhusu 'wanaoheshimika', -ika inaongezwa mwishoni kubadili kitenzi(verb) kuwa kivumishi(adjective).
ReplyDeleteMfano: kuheshimu =to respect
>kuheshimika=to be respectable
>kuimba=to sing
>kuimbika=to be singable(if there is such a word)
>kulima=to dig/cultivate/till as in land
>kulimika= to be tillable
Ninaelewa sasa. Asante mwalimu.
ReplyDelete