1. Can I buy you a (cup of) coffee?
Je, ninaweza kukununulia (kikombe cha) kahawa?
2. I'm lost, could you please show me where the bus station is?
Nimepotea unaweza tafadhali kunionyesha wapi stensheni ya matatu?
3. I would like to see you tomorrow night. Is that okay? Do you have time?
Ningependa kukuona kesho usiku. Ni sawa? Una muda?
4. What is your phone number?
Je, nambari ya simu yako ni gani?
5. Where do you stay/live?
Unakaa/unaishi wapi?
6. How old are you?/What age are you?
Una miaka mgapi?/ Una umri upi?
7. Where can I buy authentic Kenyan gifts? I want to buy them for my friends in America.
Ninaweza kununua zawadi asili wapi? Ninataka kuwanunulia rafiki na jamaa yangu Marekani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment