Sunday, January 31, 2010

Mazumguzo 2

Hoteli

1. How much do you charge for a room?
Unalipishaje kwa chumba?

2. Do you recommend any activities here?
Unpendekeza michezo yoyote hapa?

3. What time is the bus supposed to come?
Basi linafaa kuja sangapi/ Basi litaja sangapi?

4. How do I find/get to the bank from here?
Ninapataje benki kutoka hapa?/ Ninafikaje benki kutoka hapa?

Tuesday, January 26, 2010

Mazumguzo

1. Can I buy you a (cup of) coffee?
Je, ninaweza kukununulia (kikombe cha) kahawa?

2. I'm lost, could you please show me where the bus station is?
Nimepotea unaweza tafadhali kunionyesha wapi stensheni ya matatu?

3. I would like to see you tomorrow night. Is that okay? Do you have time?
Ningependa kukuona kesho usiku. Ni sawa? Una muda?

4. What is your phone number?
Je, nambari ya simu yako ni gani?

5. Where do you stay/live?
Unakaa/unaishi wapi?

6. How old are you?/What age are you?
Una miaka mgapi?/ Una umri upi?

7. Where can I buy authentic Kenyan gifts? I want to buy them for my friends in America.
Ninaweza kununua zawadi asili wapi? Ninataka kuwanunulia rafiki na jamaa yangu Marekani.

Sunday, January 24, 2010

"Quizlet" : Mwili

Niliongeza sehemu ya mwili katika "Quizlet". Tovuti ni:

http://quizlet.com/1718619/body-parts-flash-cards/

Thursday, January 21, 2010

Sehemu za Mwili

Mwili=Body
Uso=Face
Sura=Facial Image
>Ana sura nzuri/ S/he has a good image (as in pretty etc)
Jino/Meno=Tooth/Teeth
Nywele=Hair
Shavu/Mashavu=Cheek/cheeks
Jicho/Macho=Eye/eyes
Mdomo=Mouth
Pua/Mapua=Nose/nostrils
Kope za macho=Eyelids
Sikio=Ear
Shingo=Neck
Uti wa mgongo=Spine
Mgongo=Back
Ulimi/Ndimi=Tongue/Tongues
Kidevu=Chin
Ndevu=Beard
Kwapa/Makwapa=Armpit/s
Bega=Shoulder
Misuli=Muscles
Kumbo=Elbow
Mkono=Hand/arm
Kiganja=Palm
Tumbo=Stomach
Moyo=Heart
>Roho not moyo is used when referring to the 'spiritual heart'
Ini/Maini=Liver
Kitovu=Umbilical cord
Kiuno=Waist
Paja/mapaja=Hip/s
Goti=Knee
Mguu=Leg
Kisigino=Heel/sole
Kidole/vidole=Finger/s
Kidole cha mguu=Toe
Kucha=Nail
Titi/matiti=Breast/s
Kifua=Chest
Tako/Matako=Butt/s
> makalio is the polite way of referring to butt
Koo=Throat
Mfupa/Mifupa=Bone/s
Kiungo/Viungo=Joint/s
> Viungo vya goti langu vinaniuma/ My knee joints are hurting
Ngozi=Skin

Other nouns associated with the body are:
Machozi=Tears
Mate=Saliva
Makohozi=Sputum
Jasho=Sweat
Makamasi=Mucus
Pumzi=Breath

Wednesday, January 20, 2010

Mwenza: collegue/close friend

sing:
mwenzangu- my friend mwenzetu- our friend
mwenzako- your friend mwenzenu- your(pl) friend
mwenzake- his/her friend mwenzao- their friend

plural:
wenzangu- my friends wenzetu
wenzako wenzenu
wenzake wenzao

Saturday, January 16, 2010

Wimbo wa Taifa

Baada ya kusikilizawimbo wa taifa wa Tanzania na wimbo wa Kenya, nilitambua kwamba sipendi wimbo wa taifa wa Marekani sana. Sipendi wimbo wa taifa wa Marekani kwa sababu ni kuhusu bendera iliyodumu wakati wa kita. Wimbo inaelezea bendera lakini haisemi sana kuhusu tabia ya Marekani ila kuhusu uhuru na ushujaa. Ninadhani wimbo wa taifa inahitaji kuelezea tabia ya taifa kama wimbo wa taifa wa Tanzania au Kenya. Ninapenda wimbo wa taifa wa Tanzania bora kwa sababu inasema kuhusu busara, umoja, amani na uhuru. Pia, inaelezea Tanzania kama sehemu ya Afrika na ninapenda hii kwa sababu inaonyesha kwamba Tanzania ni sehemu kwa jamii kubwa. Wimbo wa taifa wa Tanzania ni bora zaidi wimbo wa taifa wa Marekani.

Nina Swali kuhusu ukurasa themanini na mbili

Ukurasa wa themanini na mbili kuna neno wanaoheshimika. Ninawaza neno inatokana na neno la "kuheshimu" (to respect), lakini kwa nini ilikuwa "-ika" iliongeza mwishoni?

Asante!

Thursday, January 14, 2010

Reading Vocabulary

Attach je, talks about the process, manner, becomes almost like how

Kazi ya mkono – manual work/blue-collar job

Waliwategemea – they depended on them

Mali nyingi – a lot of wealth

Waliamka – they woke up

Kumuacha – to leave her/him

Kifungua mimba – the first bron

Kitinda mimba – the last born

Hali – situation/status

Njia – way

Alifahamu – she knew

Alipojiunga – when s/he joined/entrolled

Fursa – chance/permission

Alijikaza – s/he strived hard

Mfano bora – good example

Shule ya msingi – elementary

Kupita mtihani – to pass the exams

Shule ya bweni – boarding school

Shida – struggle/problems

Walijitolea – they sacrificed

Wawafae – to be useful to them

Kimaisha – in life

Alielewa – s/he understood

Kuwavunja moyo – to break their heart/demoralize

Aliwahimiza – s/he urged them

Chuo cha uuguzi – medical school

Afya bora – good health

Kuvumilia – to be patient

Aliwatii – s/he obeyed them

Aliwaheshimu – s/he respected them

Anakaribia – s/he is almost

Kumaliza – to complete

Kamwe – never ever

Hasau – s/he doesn’t forget

Kuwa kulikuwa - was

Tuesday, January 12, 2010

Locatives

GENERAL
huku: here
kule: there
huko: there (far away)

SPECIFIC
hapa: here
pale: there
hapo: there (far away)

INSIDE
humu: inside here
mle: inside there
humo: inside there (far away)

THERE IS/ARE
(a-wa)
niko tuko
uko mko
yuko wako

(m-mi)
uko - iko

(ji-ma)
liko - yako

(ki-vi)
kiko - viko

(i-zi)
iko - ziko

prepositional/ adverbial phrases of place

Mbele ya = Infront of
Mfano: Nilisimama mbele ya rais wa Tanzania=I stood in front of the president of Tanzania

Nyuma=Behind
Kiti kipo nyuma yako= The chair is behind you

Kando=Beside
kaa kando ya mwenzako= sit beside your colleague

Kati ya= between
Yuko kati ya Amina na Bakari=s/he is between Amina na Bakari

Pembeni mwa=In the corner/far end of
Pembeni mwa nyumba mna nyoka=In the corner of the house there is(inside) a snake

Juu ya=On /on top of
Juu ya ghorofa=On top of the storey building

Chini = Below/under/down
Jifiche chini ya meza=(you) hide yourself under the table

Wednesday, January 6, 2010

Kazi 1/5/10

Negating “I haven’t finished it”

Error: sikiishi

English: I haven’t finished it

Fix: kumaliza (finish like book) vs. kuisha (finish like food)

Object marker after the tense marker

Swahili: sijakimaliza

Which color =

Ni rangi ipi

Ulikunyiwa = you drank

kulewa

English: “I was told that”

Swahili: niliambiwa

gundua à discover

English: “to be sad”

Swahili: sikitika