Monday, April 12, 2010

Mazungumzo Kwanza

Ninataka kuongea kuhusu burudani katika Kenya na Marekani. Mimi ni chunguzi nini watu katika kenya wanafurahia. Ikiwa wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu katika Kenya, unafanya nini wakati wa wikendi yako? Wanafunzi wa chuo kikuu katika Kenya wanafurahia kufanya kituo visawe kama wanafunzi Marekani?

Taja vituo tano unafurahia wakati wa wikendi na kwa nini. Mwalimu, utuambe kuhusu wikendi katika Kenya.

"I want to talk about entertainment in Kenya and America. I am curious what people in Kenya enjoy. If you are a student at university in Kenya, what do you do during your weekend? Students in universtiy in Kenya enjoy doing similar things as students in America?

List 5 things you enjoy during your weekend and why. Professor, you should tell us about weekends in Kenya.

Sunday, March 7, 2010

Muziki

Nimekuwa kusikiliza muziki wa Afrika sana karibuni. Ninapendekeza Vusi Mahlasela. Nilimsikia katika "concert" wiki nyingine zilizopita. Alinishangazaa. Hata alitumia Kiswahili kidogo. Alisema, "napenda Afrika".

Pia, ninapendekeza "Insingizi". Sijui wao ni kutoka wapi, lakini wanaunda ajabu muziki. Ninasikiliza "Insingizi" ninaposoma.


***Nilitumia "po"sahihi katika neno "kusoma"?***

Thursday, February 18, 2010

Msamiati wa magonjwa

Brian, hapa ni msamiati tangu leo... Ninaongeza quizlet pia.


Magonjwa ya zinaa: sexually transmitted ilnesses
Kisonono: gonorrhea
kaswende: syphilis
Virusi vya ukimwi: HIV
Ukimwi: AIDS
Maumivu ya kichwa: headache
Vidonda vya tumbo: stomach ulcers
donda: ulcer
saratani/kansa: cancer
kichaa: insanity
kichocho: bilharzia
kifua kikuu: tuberculosis
kipindupindu: cholera
ugonjwa wa kisukari/kisukari: diabetes
mafua: flu/cold
homa: fever
surua: measles
malale: sleeping sickness
kifafa: epilepsy
homa ya manjano: yellow fever
ugonjwa wa moyo: heart disease
mshtuko wa moyo: cardiac arrest
kikohozi: cough
kuharisha/kuendesha: diarrhoea
minyoo: worms
mzio: allergies
nimonia: pneumonia
tetemaji: chicken pox
homa ya matumbo: typhoid
tezi la koo: tonsillitis
upele: scabies
mashilingi: ring worms
kizunguzungu: dizziness
kisunzi: quesiness
matumbwitumbwi: mumps
homa ya nguruwe: swine flu
harara: pimples/rashes


kidonda: wound
kutapika: to vomit
kuzirai: to faint/pass out
kujikuna: to scratch (yourself)
kuwasha: to itch
jipu: boil
kupoteza fahamu: lose consciousness
kuteguka/kutetereka: to sprain
maumivu makali: sharp/severe pain
makamasi: mucus
mate: saliva
kutoka jasho: to sweat
kutetemeka: to shiver/tremble
kukohoa: to cough
kufura: to swell
kufa ganzi: to be numb
kuhisi: to feel
kuuma: to hurt/ache
kushtuka: to be shocked
kusinzia: to doze off
tembe: tablet
tiba: treatment
kutibu: to treat
muuguzi: nurse
kuvunja: to break
kupona: to feel well
kupata nafuu: to get well
damu: blood
kudunda: to beat as in heart
shindano: injection
dunga shindano: to get a shot
kipofu: blind
upofu: blindness
dawa: medicine
dalili: symptoms/signs
uchovu: fatigue
kusugua: to rub
kupaka: to apply
mahabara: laboratory

Wednesday, February 10, 2010

tovuti za wizara mbalimbali za kenya

http://www.education.go.ke

www.finance.go.ke

www.kie.ac.ke

www.education.go.ke

www.transport.go.ke

www.tourism.go.ke

www.justice.go.ke

kenya industrial estates limited

Nina swali

Niko ninaandika makala (paper) kwa darasa yangu. Makala ni kuhusu elimu, serikali na kiwanda katika Kenya na jinsi zinahusu endeleo. Ikiwa watu wote wana habari au vitabu kuhusu mambo haya, lazima uniambie tafadhali. Asante.

Some new vocabulary

Ushauri= advice
uchaguzi=choice
kunifaa=useful to me
kwanza kabisa=first and foremost
kuvutia=to interest
hesabu=mathematics
fasihi=literature
kuendelea=to continue/progress
ikiwa=if/in case
bado=still
fasihi linganishi=comparative literature
mawasiliano=communications
elimu jamii=sociology
kitivo=department
sanaa na sayansi=arts/humanities and sciences
nikimaliza=when I complete
mashirika=organizations
vyombo vya habari=media industry
na kadhalika=et cetra
kozi=course
basi=so/then
labda=maybe
utaamua=you will decide
kuchukua=to take
isimu=linguistics
bila shaka=absolutely/definitely/for sure/without a doubt
msaada=help
kila la heri=all the best/good luck

Tuesday, February 2, 2010

Cooking 2/2/2010

kuandaa: to prepare
viungo: ingredients
nyanya: tomato
kitunguu saumu: garlic
mafuta laini: oil (liquid)
kitunguu: onion
siagi: butter (spread)
masala: spices
chumvi: salt
pilipili: pepper
mchuzi: sauce
hadi: until, through
kiasi: a little bit
furahia: enjoy
kuchemsha: to boil
kukatakata: to cut
Kupasha: to heat
kuchanganya: to stir/to mix
kiamsha kinywa: breakfast
unga: flour
asali: honey
ngano: wheat
sukari: sugar
maziwa: milk
mayai: eggs
hamira: baking powder
kutosha: enough
chombo: vessel, utensil
kukanda: to knead
kubaki: to stay, remain
kufunika: to cover
kuacha: to leave
kutandaza: to spred
donge: amount
kuchoma: to burn
uma: fork
kuongeza: to add
kuweka: to put
kuiva: to cook well
kavu: plain
bila: without
- ya kubeba: carry out
kupendelea: to recommend
kipande: piece