Monday, April 12, 2010

Mazungumzo Kwanza

Ninataka kuongea kuhusu burudani katika Kenya na Marekani. Mimi ni chunguzi nini watu katika kenya wanafurahia. Ikiwa wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu katika Kenya, unafanya nini wakati wa wikendi yako? Wanafunzi wa chuo kikuu katika Kenya wanafurahia kufanya kituo visawe kama wanafunzi Marekani?

Taja vituo tano unafurahia wakati wa wikendi na kwa nini. Mwalimu, utuambe kuhusu wikendi katika Kenya.

"I want to talk about entertainment in Kenya and America. I am curious what people in Kenya enjoy. If you are a student at university in Kenya, what do you do during your weekend? Students in universtiy in Kenya enjoy doing similar things as students in America?

List 5 things you enjoy during your weekend and why. Professor, you should tell us about weekends in Kenya.

1 comment:

  1. Burudani nchini kenya huwa tofauti na hubadilika kulingana na umri wa watu. Kwa ujumla wakenya wote hupenda kutazama soka na pia michezo mingine maarufu kama raga.

    Kama mnavyojua, huu ni msimu wa world cup/ kombe la dunia, kwa hivyo wakenya wengi, wanawake kwa wanaume wanatazama televisheni zao sana wakitarajia timu moja kutoka Afrika itashinda....ingawa mimi ningependa timu ya Brazil ishinde kombe hilo la dunia.
    Vijana na watu wa umri wa kati ambao huishi mijini hujistarehesha kwa kwenda vilabuni na pia kutembelea sehemu mbali mbali za safari kama masai mara ama fuoni za bahari kule pwani.
    Kama mkenya anayeishi marekani, ningependa kusema kuwa Wakenya wanapenda burudani kuliko Waamerika.

    ReplyDelete