Nimekuwa kusikiliza muziki wa Afrika sana karibuni. Ninapendekeza Vusi Mahlasela. Nilimsikia katika "concert" wiki nyingine zilizopita. Alinishangazaa. Hata alitumia Kiswahili kidogo. Alisema, "napenda Afrika".
Pia, ninapendekeza "Insingizi". Sijui wao ni kutoka wapi, lakini wanaunda ajabu muziki. Ninasikiliza "Insingizi" ninaposoma.
***Nilitumia "po"sahihi katika neno "kusoma"?***
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nyote mkiwa na nafasi na mngependa kusikiliza miziki kutoka Afrika na siyo tu kenya, mnaweza kusikiliza nyimbo hizi, ninajua mtazipenda:
ReplyDeleteSondela (Umeimbwa na Ringo kutoka Asrika kusini)
Rail on, Show me the way, Yolele( umeimbwa na papa wemba kutoka Zaire)
Nakupenda( umeimbwa na marehemu Brenda fassi kutoka Africa Kusini)