Brian, hapa ni msamiati tangu leo... Ninaongeza quizlet pia.
Magonjwa ya zinaa: sexually transmitted ilnesses
Kisonono: gonorrhea
kaswende: syphilis
Virusi vya ukimwi: HIV
Ukimwi: AIDS
Maumivu ya kichwa: headache
Vidonda vya tumbo: stomach ulcers
donda: ulcer
saratani/kansa: cancer
kichaa: insanity
kichocho: bilharzia
kifua kikuu: tuberculosis
kipindupindu: cholera
ugonjwa wa kisukari/kisukari: diabetes
mafua: flu/cold
homa: fever
surua: measles
malale: sleeping sickness
kifafa: epilepsy
homa ya manjano: yellow fever
ugonjwa wa moyo: heart disease
mshtuko wa moyo: cardiac arrest
kikohozi: cough
kuharisha/kuendesha: diarrhoea
minyoo: worms
mzio: allergies
nimonia: pneumonia
tetemaji: chicken pox
homa ya matumbo: typhoid
tezi la koo: tonsillitis
upele: scabies
mashilingi: ring worms
kizunguzungu: dizziness
kisunzi: quesiness
matumbwitumbwi: mumps
homa ya nguruwe: swine flu
harara: pimples/rashes
kidonda: wound
kutapika: to vomit
kuzirai: to faint/pass out
kujikuna: to scratch (yourself)
kuwasha: to itch
jipu: boil
kupoteza fahamu: lose consciousness
kuteguka/kutetereka: to sprain
maumivu makali: sharp/severe pain
makamasi: mucus
mate: saliva
kutoka jasho: to sweat
kutetemeka: to shiver/tremble
kukohoa: to cough
kufura: to swell
kufa ganzi: to be numb
kuhisi: to feel
kuuma: to hurt/ache
kushtuka: to be shocked
kusinzia: to doze off
tembe: tablet
tiba: treatment
kutibu: to treat
muuguzi: nurse
kuvunja: to break
kupona: to feel well
kupata nafuu: to get well
damu: blood
kudunda: to beat as in heart
shindano: injection
dunga shindano: to get a shot
kipofu: blind
upofu: blindness
dawa: medicine
dalili: symptoms/signs
uchovu: fatigue
kusugua: to rub
kupaka: to apply
mahabara: laboratory
Thursday, February 18, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Useless
ReplyDeleteRude not like you could have come up with even one of these
ReplyDeleteYou know you are more useless for even searching it up since to you its useless