Sunday, March 7, 2010

Muziki

Nimekuwa kusikiliza muziki wa Afrika sana karibuni. Ninapendekeza Vusi Mahlasela. Nilimsikia katika "concert" wiki nyingine zilizopita. Alinishangazaa. Hata alitumia Kiswahili kidogo. Alisema, "napenda Afrika".

Pia, ninapendekeza "Insingizi". Sijui wao ni kutoka wapi, lakini wanaunda ajabu muziki. Ninasikiliza "Insingizi" ninaposoma.


***Nilitumia "po"sahihi katika neno "kusoma"?***